1. Home
  2. Africa News

Category: Africa News

Serikali ya Ethiopia yadai kuukamata Mji wa Alamata.

Serikali ya Ethiopia yadai kuukamata Mji wa Alamata.

Serikali ya Ethiopia imesema leo kuwa imeukamata mji mwingine wa jimbo la kaskazini la Tigray baada ya karibu wiki mbili za mapigano katika mzozo unaotishia kuteteresha hali ya usalama kwenye eneo la pembe ya Afrika.…

Read More
Uwezekano wa kutokea Janga la Wakimbizi TIGRAY.

Uwezekano wa kutokea Janga la Wakimbizi TIGRAY.

Shirika la Umoja wa Mataifa linalowashughulikia wakimbizi UNHCR limesema lina wasiwasi kwamba kutatokea janga la wakimbizi iwapo raia wataendelea kukimbia mapigano katika mkoa wa Tigray kaskazini mwa Ethiopia. Wanajeshi wa serikali wamekuwa wakipambana na wapiganaji…

Read More
Taasisi ya ‘The Right Way’ yasema uchaguzi ulikuwa huru na haki.

Taasisi ya ‘The Right Way’ yasema uchaguzi ulikuwa huru na haki.

Taasisi iliyopata kibali cha kuangalia mwenendo wa uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 nchini ‘The Right Way’ imeeleza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ulikuwa Uhuru na haki. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya ‘The Right Way’…

Read More
Shirika la Madini la Twiga laonyesha uwezo mkubwa.

Shirika la Madini la Twiga laonyesha uwezo mkubwa.

Kampuni ya Madini ya Barrick imesema Shirika la Madini la Twiga limeonyesha uwezo mkubwa wa kutengeneza thamani ya ushirika ikiwa ni mwaka mmoja pekee tangu kuanzishwa kwake. Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Barrick Bwana…

Read More
Tanzania yafanikiwa kutekeleza malengo ya SADC.

Tanzania yafanikiwa kutekeleza malengo ya SADC.

Tanzania imesema licha ya kupitia changamoto mbalimbali ikiwemo ugonjwa wa corona na majanga ya mafuriko imefanikiwa kutimiza malengo waliyokubaliana na nchi wanachama wa jumuiya ya maendeleo kusini mwa afrika SADC huku ikiisihi Msumbiji kuendeleza mafanikio…

Read More
Wahamiaji sita wafariki na mwanamke mmoja ajifungua.

Wahamiaji sita wafariki na mwanamke mmoja ajifungua.

Shirika la Uhamiaji la UN limeeleza kuwa Miongoni mwa Wahamiaji 93 waliookolewa mwambao wa Libya mmoja wao amejifungua Baharini huku wengine Sita wamefariki njiani na wale walionusurika walirudishwa katika mji wa bandari wa Khoms, kilomita…

Read More
Jacob Zuma afikishwa mahakamani tena.

Jacob Zuma afikishwa mahakamani tena.

Aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amefikishwa mahakamani leo katika mji wa Durban ili kujibu mashItaka ya rushwa, udanganyifu na kujitajirisha kinyume cha sheria, kesi ambayo imekuwa ikiunguruma tangu alipong’atuliwa kutokana na tuhuma za…

Read More
Malawi yarudia kupiga kura ya Urais.

Malawi yarudia kupiga kura ya Urais.

Malawi leo imerudia uchaguzi wa Rais baada ya Mahakama ya nchi hiyo kuyafuta matokeo ya mwaka 2019 ambayo Rais Peter Mutharika alishinda. Washindani wakuu kwenye uchaguzi huo ni Rais Mutharika na Dkt.Lazarous Chakwera. Katika uchaguzi…

Read More
Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi afariki Dunia.

Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi afariki Dunia.

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa moyo baada ya kulazwa jana katika Hopsitali ya Karusi nchini humo. Marehemu Rais Nkurunziza aliyekuwa na umri wa miaka miaka 55 ameliongoza taifa la…

Read More
Zaidi ya watu 20 wauwawa katika shambulio huko nchini Mali.

Zaidi ya watu 20 wauwawa katika shambulio huko nchini Mali.

Watu Ishirini na sita wameuawa katika shambulio katika kijiji kilicho kati mwa Mali,ambapo maafisa wasema tukio limejiri katika ghasia za hivi karibuni kugonga Taifa hilo lililopo Afrika Magharibi. Aly Barry ni afisa kutoka Tabital Pulaaku…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!