Watu 18 ikiwa ni pamoja na watoto walio na umri ulio chini ya miaka 6 wameuawa katika shambulio la hivi karibuni katika maeneo ya Mambisa wilayani Djugu katika Mkoa wa Ituri Kaskazini Mashariki mwa Jamhuri…
Read MoreUganda leo imeanza kupunguza vizuizi dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona, ambapo magari binafsi yanatarajiwa kurejea barabarani, maduka na migahawa kufunguliwa. Licha ya kupunguza vizuizi hivyo uvaaji wa barakoa ni lazima kwa kila mtu…
Read MoreLeo ni siku ya Afrika. Siku ya Afrika inaadhimishwa mwaka huu 2020 ikiwa inatimiza miaka 57 tangu kuanzishwa kwake enzi za Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU) ambayo sasa ni Umoja wa Afrika yaani…
Read MoreRaia nchini Burundi leo Mei 20 wanapiga kura katika uchaguzi mkuu, zoezi litakalowezesha kumpata mrithi wa kiongozi wa muda mrefu wa taifa hilo Rais Pierre Nkurunziza. Uchaguzi huo unafanyika baada ya miaka mitano ya mvutano…
Read MoreSerikali ya Kenya imesema nchi hiyo na Tanzania sio tu ni majirani bali ni ndugu na kwamba changamoto mbalimbali ambazo zimekuwa zikijitokeza kwenye mipaka ya nchi hizo kwa siku za karibuni zimesababishwa na mlipuko wa…
Read MoreHadi kufikia leo Bara la Afrika visa vilivyothibitishwa kuwa na virusi vya corona imefikia 79,931, vifo 2,640 na waliopona 30,226. Kwa upande wa Bara la Afrika nchi inayoongoza kwa visa vya corona ni Afrika Kusini…
Read MoreNigeria imeanza kuwarudisha nyumbani raia wake waliokwama katika mataifa ya kigeni kufuatia vizuizi vya usafiri vilivyosababishwa na mlipuko wa virusi vya Corona. Kundi la kwanza ni Wanaijeria mia mbili sitini na watano ambao wamerejea nchini…
Read MoreWakazi wa maeneo ya Eastleigh mjini Nairobi na Old town mjini Mombasa nchini Kenya hawatoruhusiwa kutoka katika maeneo hayo katika kipindi cha wiki mbili zijazo kuanzia saa moja usiku leo hii Jumatano 6 Mei, 2020.…
Read MoreUmoja wa Afrika (AU) unafanya mazungumzo na Jamuhuri ya Madagascar, ili kupata data za kiufundi kuhusu usalama na ufanisi wa dawa ya mitishamba iliyotangazwa hivi karibuni ambayo ilidai inazuwia na kutibu Covi-19. AU imesema kuwa…
Read MoreWanasayansi wa Kenya wameungana na wenzao wa kimataifa katika juhudi za kutafuta chanjo ya ugonjwa wa Covid-19, kwa kufanyia majaribio dawa tatu. Majaribio ya chanjo hiyo yatafanywa kwa binadamu ili kubaini ikiwa dawa hizo zinaweza…
Read More