Hadi leo visa vilivyothibitishwa kuwa na virusi vya corona Bara la Afrika vimefikia 40,575, vifo 1,692 na waliopona 13,391. Katika nchi 54 za Afrika ni nchi moja tu, nchi ya Lesotho ambayo haijatangaza mgonjwa hata…
Read MoreNchini humo kuna jumla ya maambukizi 52 tangu kuripotiwa kwa maambukizi ya kwanza Machi 19, huku wizara ya afya ya taifa hilo ikisema watu 19 miongoni mwa hao 52 wamefanikiwa kupona ugonjwa wa COVID-19. Katika…
Read MoreRais Arthur Peter Mutharika wa Malawi amesema taifa lake litazindua mradi wa dharura wa kusafirisha fedha ambao unatarajiwa kuwalenga watu milioni moja pamoja na wafanyabiashara wadogo walioathiriwa na janga la virusi vya Corona. Kupitia mpango…
Read MoreWaziri wa afya nchini Kenya Mutahi Kagwe ametangaza kwamba watu 8 zaidi wamethibitishwa kuambikizwa virusi vya corona. Aidha 8 wengine pia wamethibitishwa kupona na kufikisha jumla ya idadi hiyo kufikia 114. Tangu mara ya kwanza…
Read MoreNigeria imeamuru uvaaji wa barakoa kuwa wa lazima katika jiji kubwa nchini humo la Lagos, ikiwa ni njia mojawapo ya kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona. Gavana wa Lagos Babajide Sanwo-Olu ametangaza uvaaji wa barakoa…
Read MoreAwamu mpya ya vifaa vya matibabu iliyotolewa na China kwa nchi na sehemu 12 za Afrika kuzisaidia kupambana na virusi vya Corona imewasili jana katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa kupitia ndege ya mizigo…
Read MoreRais wa Sierra Leone Julius Maada Bioamelazimika kujitenga baada ya mlinzi wake kubainika kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona. Rais huyo wa nchi ametangaza kuwa anajisikia kuwa na afya njema pamoja na familia yake…
Read MoreIdadi ya watu walioambukizwa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi kufika 281 baada ya visa vingine 11 kuthibitishwa Jumatatu ya leo. Waziri wa Afya Mutahi Kagwe amesema wagonjwa wapya saba wameripotiwa mjini Mombasa pwani…
Read MoreShirika la Afya duniani WHO, limesema huenda Afrika ikawa kitovu kipya cha mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu COVID-19, kufuatia kuwepo kwa ongezeko kubwa la maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa huo.…
Read MoreVikosi vya usalama nchini Nigeria vimetuhumiwa kuwaua watu kumi na wanane wakati wakichukua hatua ya kulazimisha watu kufuata zuio la kutotoka nje ikiwa ni njia mojawapo iliyochukuliwa na taifa hilo kudhibiti maambukizi ya virusi vya…
Read More