1. Home
  2. Africa News

Category: Africa News

Rushwa kumfikisha Zuma Mahakamani.

Rushwa kumfikisha Zuma Mahakamani.

Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma atafikishwa mahakamani kujibu mashitaka ya rushwa baada ya mahakama kutupilia mbali ombi lake la kutaka kesi hiyo isitishwe kabisa. Uamuzi huo wa leo una maana kuwa kutakuwa…

Read More
Waziri Mkuu Ethiopia ashinda Tuzo ya Nobel.

Waziri Mkuu Ethiopia ashinda Tuzo ya Nobel.

Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed ameshinda Tuzo ya Amani ya Nobel 2019 kutokana na juhudi zake muhimu za kuutatua mzozo wa mpakani na nchi jirani ya Eritrea. Mwenyekiti wa Kamati ya Nobel nchini Norway…

Read More
Waathiriwa Utawala wa Dikteta Yahya Jammeh walipwa fidia.

Waathiriwa Utawala wa Dikteta Yahya Jammeh walipwa fidia.

Serikali ya Gambia imetoa euro 900,000 kwa mfuko wa misaada wa waathiriwa wa utawala wa Dikteta Yahya Jammeh ikiwa ni pesa zilizotokana na mali ya kiongozi huyo wa zamani wa Gambia, baada ya kukamatwa na…

Read More
Ennahda kinaongoza matokeo ya awali Uchaguzi Tunisia.

Ennahda kinaongoza matokeo ya awali Uchaguzi Tunisia.

Matokeo ya awali ya uchaguzi wa bunge nchini Tunisia yanaonesha kuwa chama cha Kiislamu chenye msimamo wa wastani, Ennahda kinaweza kuibuka na ushindi katika bunge lijalo. Muda mfupi baada ya vituo vya kupigia kura kufungwa…

Read More
Zaidi ya Watu 20 wauawa kwa Shambulio la mgodi nchini Burkina Faso.

Zaidi ya Watu 20 wauawa kwa Shambulio la mgodi nchini Burkina Faso.

Zaidi ya watu 20 wamefariki Dunia nchini Burkina Faso baada ya shambulio lililolenga eneo la mgodi kaskazini mwa nchi hiyo huku kundi moja la wanajihadi lenye mfungamano na kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu…

Read More
Mgombea Urais Tunisia Nabil Karoui aendelea kusota gerezani.

Mgombea Urais Tunisia Nabil Karoui aendelea kusota gerezani.

Mahakama ya Rufaa nchini Tunisia imetupilia mbali ombi la kuachiliwa huru Mgombea katika kinyang’anyiro cha Urais nchini humo Nabil Karoui lililowasilishwa na mawakili wake ambae amefuzu katika duru ya pili ya uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika…

Read More
Wanafunzi 7 wa S/Msingi wapoteza Maisha Kenya.

Wanafunzi 7 wa S/Msingi wapoteza Maisha Kenya.

Wanafunzi saba wa Shule ya msingi mtaa wa Dagoretti jijini Nairobi nchini Kenya, wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya kuangukiwa na ukuta pamoja na la darasa lililokuwa likijengwa. Mkasa huo umetokea wakati wanafunzi…

Read More
Meli ya “Ocean Viking” imewaokoa kwa mara nyengine watu 109.

Meli ya “Ocean Viking” imewaokoa kwa mara nyengine watu 109.

Meli ya uokoaji ya “Ocean Viking” imewaokoa kwa mara nyengine watu 109 waliokuwa wanahitaji msaada wa dharura katikati ya bahari. Shirika la misaada la SOS katika bahari ya Mediterenia pamoja na lile la Madaktari wasiokuwa…

Read More
Sintofahamu kuhusu atakapozikwa Marehemu Mugabe.

Sintofahamu kuhusu atakapozikwa Marehemu Mugabe.

Familia ya Rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe, na Serikali ya nchi hiyo, wameendelea kutofautiana kuhusu wapi mwili wa kiongozi huyo utakapozikwa hali ambayo bado inazua sintofahamu ya tarehe kamili ya kuzikwa kwake baada…

Read More
Mwili wa Mugabe warejeshwa Zimbabwe Kutoka Singapore.

Mwili wa Mugabe warejeshwa Zimbabwe Kutoka Singapore.

Maelfu ya wananchi nchini Zimbabwe wamekusanyika kuupokea mwili wa aliyekuwa Rais wa zamani wa nchi hiyo Robert Mugabe ambao umesafirishwa kutoka nchini Singapore kuelekea nyumbani. Mugabe alifariki dunia wiki iliyopita akiwa na umri wa miaka…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!