1. Home
  2. Africa News

Category: Africa News

Mwili wa Hayati Mugabe wafuatwa Singapore.

Mwili wa Hayati Mugabe wafuatwa Singapore.

Baadhi ya Wanafamilia ya aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe pamoja na maafisa wa serikali wameelekea nchini Singapore kuuchukua mwili wa Rais huyo wa zamani aliyefariki dunia wiki iliyopita. Habari zinasema kwamba ndege hiyo ambayo…

Read More
Mzee Robert Mugabe afariki Dunia.

Mzee Robert Mugabe afariki Dunia.

Rais wa zamani wa Zimbabwe ambaye ni Muasisi na Baba wa Taifa hilo, Robert Mugabe amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95 ambapo alikuwa amelazwa hospitalini nchini Singapore kwa miezi mitano. Robert Mugabe ambaye…

Read More
Vurugu dhidi ya Rais wa Kigeni Afrika Kusini.

Vurugu dhidi ya Rais wa Kigeni Afrika Kusini.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi amesema kuwa vurugu zinazoendelea nchini Afrika Kusini zinatokana na mapambano ya kihistoria kati ya wananchi wa nchi hiyo weusi waliobaguliwa kwa muda…

Read More
Waziri Mkuu wa Sudan Kutangaza Baraza la Mawaziri.

Waziri Mkuu wa Sudan Kutangaza Baraza la Mawaziri.

Waziri Mkuu mpya wa Sudan Abdalla Hamdok amefanya mazungumzo ya kuunda baraza la kwanza la mawaziri tangu Omar al-Bashir alipoondolewa madarakani. Hamdok alitarajiwa kutangaza baraza la mawaziri baada ya Baraza la Mpito linalowajumuisha wajumbe wa…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!