1. Home
  2. Business

Category: Business

Biashara na uwekezaji Nchini vyaendelea kuwa imara.

Biashara na uwekezaji Nchini vyaendelea kuwa imara.

Takwimu za kibiashara zimeonyesha kuwa shughuli za uchumi na uwekezaji hapa nchini zimeendelea kuimarika licha ya uwepo wa mchakato wa uchaguzi mkuu ambao unafikia kilele chake wiki hii. Miongoni mwa viashiria vya uchumi kuwa imara…

Read More
Mauzo na manunuzi ya hisa DSE yapanda.

Mauzo na manunuzi ya hisa DSE yapanda.

Licha ya Tanzania kuwa kwenye mchakato wa Uchaguzi Mkuu, Thamani ya jumla ya miamala ya uwekezaji kwa hisa na hatifungani katika soko la hisa la Dar es Salaam imeongezeka zaidi na kufikia Shilingi Bilioni 33.73…

Read More
Wafanyabiashara soko la Job Ndugai na Serikali ya mkoa.

Wafanyabiashara soko la Job Ndugai na Serikali ya mkoa.

Wafanyabiashara waliokosa nafasi katika soko kuu la Job Ndugai jijini Dodoma wameuomba uongozi wa serikali ya mkoa kuwabaini waliopangisha maeneo ya biashara zaidi ya moja huku wengine wakitumia majina tofauti kwa lengo la kuyapangisha maeneo…

Read More
Wenye viwanda vya Mkonge wataka Ulinzi wa Soko.

Wenye viwanda vya Mkonge wataka Ulinzi wa Soko.

Pamoja na juhudi zinazofanywa Wizara ya Kilimo chini ya Bodi ya Mkonge na Taasisi ya utafiti wa kilimo nchini TARI katika kutoa elimu ya kilimo kwa wakulima na jinsi ya utumiaji wa mbegu bora zinazoweza…

Read More
Waziri Mkuu kufungua maonyesho Sabasaba.

Waziri Mkuu kufungua maonyesho Sabasaba.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa anatarajia kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa ambayo yanafanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere vilivyopo barabara…

Read More
Misingi iliyoifikisha Tanzania Uchumi wa Kati.

Misingi iliyoifikisha Tanzania Uchumi wa Kati.

Serikali imefafanua kuwa Tanzania imefanikiwa kuingia katika uchumi wa kati, baada ya utekelezaji wa misingi kumi, ikiwa ni pamoja na kuimarisha amani na utulivu, pamoja na kuwa na mipango inayotekelezeka. Akizungumza na Waandishi wa Habari…

Read More
Wamiliki na wasindikaji wa viwanda vya Sembe Njombe wazungumzia soko kushuka.

Wamiliki na wasindikaji wa viwanda vya Sembe Njombe wazungumzia soko kushuka.

Wamiliki na wasindikaji wa viwanda vya kuchakata unga wa Sembe mkoani Njombe wamesema kutokana na ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na virusi vya Corona kushika kasi ulimwenguni, umesababisha biashara yao kuteteleka kimtaji kutokana na wateja kupungua.…

Read More
Bei ya Mchele Tabora Yashuka.

Bei ya Mchele Tabora Yashuka.

Bidhaa ya Mchele mkoani Tabora imeendelea kushuka siku hadi siku ambapo kwa sasa bei ya jumla ya kilo moja inatajwa kuwa kati ya Shilingi mia nane na elfu moja huku bei ya rejareja ikielezwa kuwa…

Read More
Bei ya Mafuta kushuka kwa kiwango kikubwa.

Bei ya Mafuta kushuka kwa kiwango kikubwa.

Bei ya mafuta imeshuka kwa kiwango kikubwa ambacho hakijawahi kuonekana kwa zaidi ya miongo miwili . Dalili zinazonesha kwamba nchi za Ulaya na Marekani ambazo zimekumbwa na janga la virusi vya Corona huenda zimeshindwa kuzisaidia…

Read More
Wafanyabiashara kuelekea Comoro wakwama.

Wafanyabiashara kuelekea Comoro wakwama.

Zaidi ya Abiria 200 wengi wao wakiwa ni wafanyabiashara waliokuwa wakisafiri kutoka nchini kuelekea visiwa vya Comoro wameshindwa kuendelea na safari kufuatia muongozo na masharti ya nchi zao kuzuia watu kutoka mataifa mengine kuingia katika…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!