Pande hasimu nchini Libya zimekamilisha mazunguzmo ya wiki moja yaliyofadhiliwa na Umoja wa Mataifa bila ya kufikia makubaliano ya kuunda serikali ya mpito ambayo ingeongoza nchi hiyo kuelekea uchaguzi mkuu wa Desemba mwaka unaokuja. Kaimu…
Read MoreUmoja wa Mataifa unasema Walibya wamekubaliana kufanya uchaguzi katika kipindi cha miezi kumi na nane ijayo wakati ambapo juhudi za kidiplomasia zinaendelea ili kusitisha mapigano yaliyoizonga nchi hiyo ya Kaskazini mwa Afrika kwa kipindi cha…
Read MoreUmoja wa Mataifa umetangaza kuwa nchi 50 zimeidhinisha mkataba wa Umoja wa Mataifa wa kupiga marufuku silaha za nyuklia na kuchochea kutekelezwa kwake katika muda wa siku 90. Hatua hiyo imesifiwa na wanaharakati wa kupambana…
Read MoreMgombea Urais nchini Belarus katika uchaguzi uliofanyika hivi karibuni, Svetlana Tsikhanouskaya amesema amelazimika kuondoka nchini humo baada ya makabiliano kuibuka kati ya polisi na waandamanaji yaliyosababisha kifo cha muandamanaji mmoja. Katika ujumbe mfupi aliotuma kwa…
Read MoreShirika la Afya Duniani WHO limesema dawa ya kinga ambayo serikali ya urusi inadai kuigundua, haitaruhusiwa kutumika hadi pale itakapofanyiwa vipimo vya kuthibitisha ubora wake katika maabara za shirika hilo huku urusi ikisema kuwa imeipasisha…
Read MoreSiku mbili baada ya mlipuko mkubwa uliotokea kwenye eneo la Bandari katika mji mkuu wa Lebanon , Beirut wafanyakazi 16 wa bandari hiyo iliyoko Pwani ya bahari ya Mediterania wamekamatwa. Kwa mujibu wa mwanasheria mkuu…
Read MoreMitandao ya kijamii Facebook na Twitter imemuadhibu Rais Donald Trump na kampeni yake kwa kutuma ujumbe ambao mitandao hiyo inadai ni ya kupotosha ambapo Rais huyo alidai watoto ”wanakaribia kuwa na kinga kamili” ya virusi…
Read MoreWaokoaji nchini Lebanon wanaendelea kufukua vifusi kujaribu kuwatafuta manusura wa milipuko miwili mikubwa kwenye ghala la kemikali iliyoutikisa mji mkuu Beirut, ambapo mpaka sasa taarifa zinaeleza kwamba watu 78 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya…
Read MoreMarekani imeiamuru China kufunga ubalozi wake mdogo mjini Houston, Texas ifikapo ijumaa wiki hii, hatua ambayo imetafsiriwa na China kuwa uchokozi wa kisiasa. Idara ya utawala ya Marekani imesema uamuzi huo umechukuliwa ili kulinda haki…
Read MoreZaidi ya miili mia moja imepatikana kutoka katika mgodi mmoja wa madini ya Jade nchini Myanmar kufuatia mvua kubwa iliyoambatana na mmomonyoko wa udongo katika ajali ambayo inaelezwa kuwa ni mbaya zaidi kuwahi kutokea nchini…
Read More