1. Home
  2. International News

Category: International News

WHO yaipongeza Uingereza.

WHO yaipongeza Uingereza.

Shirika la Afya Duniani (WHO) limefurahishwa na matokeo ya awali ya Majaribio ya dawa ya kutibu corona nchini Uingereza yanayoonesha kwamba dawa ya dexamethasone, inaweza kuokoa maisha ya watu walio mahututi wanaougua ugonjwa wa Covid-19.…

Read More
Korea Kaskazini yalipua ofisi ya pamoja na Korea Kusini.

Korea Kaskazini yalipua ofisi ya pamoja na Korea Kusini.

Korea Kaskazini imesema inaliweka jeshi lake katika hali ya tahadhari ya kivita, ikiwa ni siku moja baada ya kulipua ofisi ya pamoja kati yake na Korea Kusini, ikiutuhumu Korea Kusini kuruhusu wanaharakati kurusha maputo yenye…

Read More
China yasitisha ulipaji wa madeni kutoka nchi na sehemu 77.

China yasitisha ulipaji wa madeni kutoka nchi na sehemu 77.

Naibu waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Ma Zhaoxu amesema, China inashiriki na kutekeleza pendekezo la kusimamisha ulipaji wa madeni kutoka nchi maskini zaidi lililotolewa na Kundi la Nchi 20, huku ikitangaza kusimamisha…

Read More
Mshukiwa wa mauaji Marekani awekewa dhamana.

Mshukiwa wa mauaji Marekani awekewa dhamana.

Derek Chauvin, polisi wa zamani ambaye ni mshukiwa Mkuu katika mauaji ya George Floyd, amewekewa dhamana ya dola milioni moja. Chauvin mwenye umri wa miaka 44, aliunganishwa na kikao cha Mahakama kwa njia ya video…

Read More
Idadi ya vifo vilivyotokana na ugonjwa wa Covid-19 ulimwenguni kote yazidi 400,000.

Idadi ya vifo vilivyotokana na ugonjwa wa Covid-19 ulimwenguni kote yazidi 400,000.

Idadi ya waliokufa kutokana na ugonjwa wa COVID -19 duniani imekaribia watu 400,000 huku vifo vikiendelea kuongezeka kwenye mataifa ya Amerika ya Kusini. Hivi sasa Brazil ni nchi ya tatu kwa kuwa na idadi kubwa…

Read More
Mlinzi wa shule ajeruhi watu 39 China.

Mlinzi wa shule ajeruhi watu 39 China.

Mlinzi wa shule moja nchini China amewajeruhi watu 39 katika shambulizi la kutumia kisu lililotokea mapema subuhi kwenye shule ya awali mashariki ya nchi hiyo. Serikali ya kaunti ya Cangwu katika jimbo la Guangxi imesema…

Read More
Afrika yaunga mkono uamuzi wa China kuhusu Hong Kong.

Afrika yaunga mkono uamuzi wa China kuhusu Hong Kong.

Mkutano wa tatu wa Bunge la 13 la Umma la China hivi karibuni umepitisha Muswada wa Kujenga na Kukamilisha Mfumo wa Sheria wa Kulinda Usalama wa Taifa Katika Mkoa wenye Utawala Maalumu wa Hong Kong…

Read More
China yaionya Uingereza kwa kujitolea kuwapokea raia wa HongKong.

China yaionya Uingereza kwa kujitolea kuwapokea raia wa HongKong.

China imeionya Uingereza kuingilia masuala ya Hong Kong baada ya taifa hilo kuapa kuwafungulia milango raia wapatao milioni tatu wa HongKong ambao wataondoka endapo sheria ya usalama wa taifa itapitishwa katika jimbo hilo. Hatua ambayo…

Read More
Sheria ya usalama wa taifa kwa mkoa wa Hong Kong.

Sheria ya usalama wa taifa kwa mkoa wa Hong Kong.

Prof. Humphrey Moshi wa Tanzania aunga mkono uamuzi wa bunge la Umma la China kutunga sheria ya usalama wa taifa kwa Hongkong. Mkurugenzi wa taasisi ya utafiti wa China katika Chuo kikuu cha Dar es…

Read More
Rais Trump awaita waandamanaji ‘Vibaka’ mauaji ya Mmarekani mweusi.

Rais Trump awaita waandamanaji ‘Vibaka’ mauaji ya Mmarekani mweusi.

Wakati vurugu zikiendelea nchini Marekani mji wa Minneapolis huku zikiambatana na maandanano yanayopinga mauaji ya Mmarekani mweusi George Floyd, Rais Donald Trump wa Marekani amewaita waandamanaji hao wanaopinga mauaji ya Mmarekani huyo kuwa ni “vibaka.…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!