1. Home
  2. International News

Category: International News

Hong Kong, Polisi wa kupambana na Ghasia wasambazwa kuzuia  maandamano katika Uwanja wa Ndege.

Hong Kong, Polisi wa kupambana na Ghasia wasambazwa kuzuia maandamano katika Uwanja wa Ndege.

Polisi wa kutuliza ghasia wamesambazwa mjini Hong Kong mwishoni mwa wiki ili kuzima mipango ya waandamanji wanaodai demokrasia. Maandamano hayo ambayo yamelenga uwanja wa ndege ikiwa ni katika hatua ya kwanza ya vuguvugu la kuushawishi…

Read More
Robert Mugabe, shujaa wa Ukombozi watangazwa muda rasmi wa maombolezo.

Robert Mugabe, shujaa wa Ukombozi watangazwa muda rasmi wa maombolezo.

Wananchi nchini Zimbabwe leo wameanza rasmi kipindi cha maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha rais wake wa zamani Robert Mugabe aliyeiongoza nchi hiyo kwa miaka 37. Robert Mugabe, rais wa kwanza wa Zimbabwe baada ya…

Read More
Utafiti, watu waliopona Ebola wasumbuliwa na Figo.

Utafiti, watu waliopona Ebola wasumbuliwa na Figo.

Utafiti wa watalaam wa afya uliofanywa nchini Guinea umeonesha watu wengi waliopona baada ya kupata tiba na chanjo ya Ebola, afya zao zilidhoofika baada ya kuanza kusumbuliwa na figo. Taarifa hiyo ya utafiti iliyochapishwa katika…

Read More
Upinzani Uingereza wajadili kuhusu Uchaguzi wa mapema.

Upinzani Uingereza wajadili kuhusu Uchaguzi wa mapema.

Vyama vya upinzani vya nchini Uingereza vinajiandaa kuamua kama viunge mkono wito wa Waziri Mkuu Boris Johnson wa kuitishwa uchaguzi mkuu kabla ya wakati au viendelee kumpa shinikizo waziri mkuu huyo. Kiongozi wa Chama kikuu…

Read More
Uingereza na Sakata la Kujitoa katika Umoja wa nchi za Ulaya ‘ Brexit ‘

Uingereza na Sakata la Kujitoa katika Umoja wa nchi za Ulaya ‘ Brexit ‘

Serikali ya Uingereza imesema imeachana na mpango wa kupinga sheria inayoitaka kuahirisha tarehe ya kuiondoa nchi hiyo katika Umoja wa Ulaya. Msemaji wa serikali hiyo amesema hii leo mjini London, kwamba wameachana na hatua ya…

Read More
Waziri Mkuu wa Uingereza amepata pigo mara mbili.

Waziri Mkuu wa Uingereza amepata pigo mara mbili.

Waziri Mkuu wa Uingereza amepata pigo mara mbili, baada ya wabunge kukataa pendekezo lake la kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba lakini pia, kukataa mswada wa kujiondoa kwenye Umoja wa Ulaya bila ya mkataba. Aidha,…

Read More
Watu wengi wafariki Dunia katika Meli Mjini California.

Watu wengi wafariki Dunia katika Meli Mjini California.

Watu zaidi ya nane wamefariki dunia hapo jana huku wengine zaidi ya 26 wakiwa hawajulikani walipo katika mkasa wa moto mkubwa uliozuka katika meli ya watalii kwenye pwani ya California. Hata hivyo mamlaka katika mji…

Read More
Mashambulizi ya Angani Eneo la Idlib Syria.

Mashambulizi ya Angani Eneo la Idlib Syria.

Majeshi ya Urusi na Marekani yameanzisha mashambulizi ya angani katika eneo la Idlib nchini Syria bila kuionya Uturuki na kuhatarisha mkataba wa kusitisha mapigano. Haya yameripotiwa leo Jumapili na shirika la habari la Urusi. Shirika…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!