1. Home
  2. International News

Category: International News

Marekani yatakiwa kuzuia mauaji ya weusi.

Marekani yatakiwa kuzuia mauaji ya weusi.

Kamishna wa Haki za Binaadamu, katika Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet amelaani kifo cha Mmarekani mweusi, George Floyd kilichotokea mikononi mwa polisi, na kutaka serikali ya taifa hilo kudhibiti mauaji ya Wamarekani wenye asili ya…

Read More
Rais wa China asisitiza kutoa kipaumbele cha wananchi.

Rais wa China asisitiza kutoa kipaumbele cha wananchi.

“Mzozo wa Chama cha Kikomunisti cha China unaota miongoni mwa wananchi”, “Kushikilia wazo la kujiendeleza kwa kutoa kipaumbele kwa wananchi”. Wakati wa Mikutano Miwili iliyofanyika nchini China,rais Xi Jinping alipowasiliana na wajumbe waliohudhuria mkutano huo…

Read More
Serikali ya Afghanistan kuwaachia huru wafungwa 900.

Serikali ya Afghanistan kuwaachia huru wafungwa 900.

Serikali ya Afghanistan imesema itawaachia huru wafungwa 900 kutoka kundi la Taliban, ikiwa ni kundi kubwa la wafungwa kuachiwa huru tangu Marekani na kundi la Taliban walipotia saini makubaliano ya amani mapema mwaka huu. Tangazo…

Read More
Matokeo ya awali ya Uchaguzi Mkuu Burundi kutangazwa leo.

Matokeo ya awali ya Uchaguzi Mkuu Burundi kutangazwa leo.

Tume Huru ya Uchaguzi nchini Burundi (CENI) hii leo Jumatatu alasiri inatarajia kutangaza matokeo ya awali ya uchaguzi uliofanyika Jumatano ya juma lililopita, huku kukiwa na taarifa kwamba matokeo ya awali yanaonyesha mgombea wa chama…

Read More
Kimbunga Amphan chaikumba India.

Kimbunga Amphan chaikumba India.

Kimbunga kikubwa ambacho hakijatokea miongo kadhaa iliyopita cha Amphan, kimeipiga India upande wa mashariki leo jumatano, kikiwa na upepo unaotembea hadi kilometa 190 kwa saa. Mkurugenzi wa hali ya hewa nchini India Sanjib Banerjee amesema…

Read More
Rais Trump amesema endapo WHO haitafanya maboresho ya kazi yake anasitisha misaada.

Rais Trump amesema endapo WHO haitafanya maboresho ya kazi yake anasitisha misaada.

Rais wa Marekani, Donald Trump ametishia kuiondoa nchi yake katika Shirika la Afya Duniani, WHO kufuatia mzozo unaoendelea juu ya namna ya kushughulikia janga la virusi vya corona. Trump ameonya kwamba ikiwa shirika hilo la…

Read More
Juhudi za umoja wa Ulaya kukwamua uchumi wake.

Juhudi za umoja wa Ulaya kukwamua uchumi wake.

Ufaransa na Ujerumani zimependekeza kuanzishwa kwa mfuko wa Euro Bilioni 500 zitakazotumika kufadhili juhudi za kukwamua uchumi wa Umoja wa Ulaya kufuatia athari zilizosababishwa na janga la virusi vya Corona. Viongozi wa nchi za Umoja…

Read More
Visa vya corona vyazidi ongezeka Duniani.

Visa vya corona vyazidi ongezeka Duniani.

Hadi kufikia leo Dunia nzima visa vilivyothibitishwa kuwa na virusi vya corona imefikia 4,628,879, vifo 308,655 na waliopona 1,760,629. Marekani bado yaongoza kwa wagonjwa ikiwa na visa 1,484,285, vifo 88,507 na waliopona 327,751. Katika Bara…

Read More
Hafla ya kuapishwa serikali mpya ya Israel yaahirishwa.

Hafla ya kuapishwa serikali mpya ya Israel yaahirishwa.

Hafla ya kuapishwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa nchini Israel iliyotakiwa kufanyika hapo jana Alhamisi wiki hii imeahirishwa hadi jumapili,baada viongozi watakaoendesha serikali hiyo kukosa kukubaliana kuhusu Baraza la Mawaziri. Waziri mkuu Benjamin Netenyahu…

Read More
Wanajeshi 19 wauawa kwa kombora la majaribio Oman.

Wanajeshi 19 wauawa kwa kombora la majaribio Oman.

Wanamaji 19 wameuawa na wengine 15 wakajeruhiwa katika tukio la ajali lililohusisha meli za kijeshi za Iran katika Ghuba ya Oman. Vyombo vya habari vya Iran vimesema kwamba meli hiyo kwa jina la Konarak ilishambuliwa…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!