1. Home
  2. Local News

Category: Local News

Maboresho huduma za Afya Bugando yaokoa Fedha.

Maboresho huduma za Afya Bugando yaokoa Fedha.

Hospitali ya rufaa ya Kanda Bugando (BMC) iliyopo Jijini Mwanza, imefanikiwa kuokoa zaidi ya shilingi bilioni mbili kila mwaka, zilizokuwa zikiigharimu Serikali kwenda kutibu baadhi ya wagonjwa nje ya nchi, baada ya hospitali hiyo kuboresha…

Read More
Waendesha Bodaboda Morogoro waondolewa eneo lisilo rasmi.

Waendesha Bodaboda Morogoro waondolewa eneo lisilo rasmi.

Baada ya waendesha Bajaji kukaidi agizo la kuondoka katika eneo wanaloegesha Bajaji zao pembezoni mwa barabara katika stendi ya daladala Manispaa ya Morogoro, askari kwa kushirikiana na maafisa wengine wakiwemo wakala barabara vijijini TARURA wameamua…

Read More
Kijana anasa kwenye Miamba ya Mawe  akisaka Madini.

Kijana anasa kwenye Miamba ya Mawe akisaka Madini.

Vikosi vya ulinzi na usalama likiwemo jeshi la wananchi, polisi, uhamiaji, zimamoto na uokoaji kwa pamoja leo vimekuwa katika juhudi za kumnasua kijana mwenye umri wa miaka 24 aliyefahamika kwa jina la Elias Marwa mkazi…

Read More
Bunge la Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania lajadili Muswada  wa marekebisho wa Sheria.

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lajadili Muswada wa marekebisho wa Sheria.

Bunge limeujadili Muswada wa marekebisho ya sheria mbalimbali wa mwaka 2019 unaopendekeza kufanyika kwa marekebisho katika sheria 11 ikiwemo sheria ya mawakili sura ya 341 na sheria ya taifa ya mashtaka sura ya 430 Akisoma…

Read More
Rais Mhe. Dkt. Magufuli kamualika Rais Museveni kufungua kongamano la kwanza la  Kibiashara.

Rais Mhe. Dkt. Magufuli kamualika Rais Museveni kufungua kongamano la kwanza la Kibiashara.

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli ambaye pia ni mwenyekiti wa SADC amemualika Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kufungua kongamano la kwanza la Kibiashara la wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda…

Read More
Wakazi wa Kata ya  Tongoni Jijini Tanga waomba kupatiwa Kivuko.

Wakazi wa Kata ya Tongoni Jijini Tanga waomba kupatiwa Kivuko.

Wakazi wa kata ya Tongoni Jijini Tanga wameiomba serikali kuwapatia kivuko kutoka Mwarongo kwenda Tongoni kwa ajili ya kutekeleza shughuli zao wakiwemo wanafunzi kufuata shule. Hayo yamebainika wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa Tanga…

Read More
Kijana Elias Marwa amenasa kwenye Mawe akisaka Madini.

Kijana Elias Marwa amenasa kwenye Mawe akisaka Madini.

Kijana mwenye umri wa miaka 24 Elias Marwa mkazi wa mtaa Nyabisale kata ya Bweri Manispaa ya Musoma mkoa wa Mara amenasa kwenye mwamba mkubwa wa jiwe wakati akisaka madini. Vyombo vya ulinzi na usalama…

Read More
Wananchi kijiji cha  Chalala walia ukosefu wa Maji.

Wananchi kijiji cha Chalala walia ukosefu wa Maji.

Zaidi ya wananchi 2500 Kijiji cha Nchinila wilayani Kiteto mkoa wa Manyara wataondokana na changamoto ya ukosefu wa maji baada ya Waziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa kuzindua mradi wa maji kijijini hapo ambao umeigharimu…

Read More
Prof. Kahimba Mkurugenzi Mkuu wa TEMDO.

Prof. Kahimba Mkurugenzi Mkuu wa TEMDO.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Fredrick Cassian Kahimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO). Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi…

Read More
Barabara Jimbo la Ukonga Ilala Zakarabatiwa.

Barabara Jimbo la Ukonga Ilala Zakarabatiwa.

Halmashauri ya Manispaa ya Ilala jijini dsm imeanza kuziboresha barabara zilizoharibika vibaya kutokana na mvua na kusababisha kupitika kwa shida katika mitaa mbali mbali ya Jimbo la ukonga. Akizungumza na Waandishi wa habari Mstahiki Meya…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!