Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli ambaye pia ni mwenyekiti wa SADC amemualika Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kufungua kongamano la kwanza la Kibiashara la wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda…
Read MoreWakazi wa kata ya Tongoni Jijini Tanga wameiomba serikali kuwapatia kivuko kutoka Mwarongo kwenda Tongoni kwa ajili ya kutekeleza shughuli zao wakiwemo wanafunzi kufuata shule. Hayo yamebainika wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa Tanga…
Read MoreKijana mwenye umri wa miaka 24 Elias Marwa mkazi wa mtaa Nyabisale kata ya Bweri Manispaa ya Musoma mkoa wa Mara amenasa kwenye mwamba mkubwa wa jiwe wakati akisaka madini. Vyombo vya ulinzi na usalama…
Read MoreZaidi ya wananchi 2500 Kijiji cha Nchinila wilayani Kiteto mkoa wa Manyara wataondokana na changamoto ya ukosefu wa maji baada ya Waziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa kuzindua mradi wa maji kijijini hapo ambao umeigharimu…
Read MoreRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Fredrick Cassian Kahimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO). Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi…
Read MoreHalmashauri ya Manispaa ya Ilala jijini dsm imeanza kuziboresha barabara zilizoharibika vibaya kutokana na mvua na kusababisha kupitika kwa shida katika mitaa mbali mbali ya Jimbo la ukonga. Akizungumza na Waandishi wa habari Mstahiki Meya…
Read More