1. Home
  2. Local News

Category: Local News

Rais Dkt. Magufuli kuzindua Bunge la 12 Jumanne ijayo.

Rais Dkt. Magufuli kuzindua Bunge la 12 Jumanne ijayo.

Mkutano wa kwanza wa Bunge la Kumi na Mbili umepangwa kufanyika Jumanne ya wiki ijayo jijini Dodoma, na hivyo wabunge wote wateule wakitakiwa kuripoti katika ofisi za bunge Dodoma, kuanzia leo hadi Jumatatu. Akitoa taarifa…

Read More
Katibu wa Rais wa Zanzibar aapishwa.

Katibu wa Rais wa Zanzibar aapishwa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Suleiman Ahmeid Saleh kuwa Katibu wa Rais wa Zanzibar. Hafla hiyo ya kiapo imefanyika Ikulu, Zanzibar. Rais Dkt. Mwinyi amemuapisha Katibu…

Read More
Dkt. Magufuli aapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Dkt. Magufuli aapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha pili cha…

Read More
Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi afanya Uteuzi.

Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi afanya Uteuzi.

Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar. Kabla ya Uteuzi huo Dkt. Mwinyi Talib Haji alikuwa Naibu Katibu Mkuu katika…

Read More
Waliokuwa Spika na Naibu Spika wawania Uteuzi wa CCM.

Waliokuwa Spika na Naibu Spika wawania Uteuzi wa CCM.

Waliokuwa viongozi wa Bunge la 11 tangu mwaka 2015 hadi Julai 2020, Spika wa Bunge Job Ndugai na Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson wamejitokeza tena kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi CCM…

Read More
Wananchi wa Dsm wapuuza maandamano.

Wananchi wa Dsm wapuuza maandamano.

Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wameendelea na Shughuli zao za kujitafutia kipato kama Kawaida wakipuuza wito wa baadhi ya viongozi wa Vyama vya Upinzani wa kuhamasisha Maandamano wakilalamikia walichodai mchakato wa uchaguzi mkuu…

Read More
Jeshi la Polisi (M) Dodoma laonya.

Jeshi la Polisi (M) Dodoma laonya.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limeonya kuwa halitoruhusu shughuli za wananchi kusimamishwa na baadhi ya watu wanaotaka kufanya maandamano ya kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28 kwani maandamano hayo hayakubaliki kisheria. Mapema…

Read More
Jeshi la Polisi Katavi lakamata vipande viwili vya meno ya Tembo.

Jeshi la Polisi Katavi lakamata vipande viwili vya meno ya Tembo.

Jeshi la Polisi mkoa wa Katavi linamshikilia mtuhumiwa mmoja anaejulikana kwa jina la Sistor katabi akiwa na vipande viwili vya meno ya tembo eneo la Ilalangulu kata ya Kibaoni tarafa ya Mpimbwe wilaya ya Mlele…

Read More
Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mteule Zanzibar.

Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mteule Zanzibar.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imemtangaza rasmi Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi wa CCM Kuwa Rais Mteule wa Zanzibar baada ya kupata Kura  380,402 sawa na Asilimia 76.27.

Read More
Rais Dkt. Magufuli apiga kura Kijiji cha Chamwino Ikulu Mkoani Dodoma.

Rais Dkt. Magufuli apiga kura Kijiji cha Chamwino Ikulu Mkoani Dodoma.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwaongoza watanzania kupiga kura katika kituo cha Idara ya Maji kijiji cha Chamwino Ikulu Chamwino Jijin Dodoma…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!