1. Home
  2. Local News

Category: Local News

Waliokuwa Spika na Naibu Spika wawania Uteuzi wa CCM.

Waliokuwa Spika na Naibu Spika wawania Uteuzi wa CCM.

Waliokuwa viongozi wa Bunge la 11 tangu mwaka 2015 hadi Julai 2020, Spika wa Bunge Job Ndugai na Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson wamejitokeza tena kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi CCM…

Read More
Wananchi wa Dsm wapuuza maandamano.

Wananchi wa Dsm wapuuza maandamano.

Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wameendelea na Shughuli zao za kujitafutia kipato kama Kawaida wakipuuza wito wa baadhi ya viongozi wa Vyama vya Upinzani wa kuhamasisha Maandamano wakilalamikia walichodai mchakato wa uchaguzi mkuu…

Read More
Jeshi la Polisi (M) Dodoma laonya.

Jeshi la Polisi (M) Dodoma laonya.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limeonya kuwa halitoruhusu shughuli za wananchi kusimamishwa na baadhi ya watu wanaotaka kufanya maandamano ya kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28 kwani maandamano hayo hayakubaliki kisheria. Mapema…

Read More
Jeshi la Polisi Katavi lakamata vipande viwili vya meno ya Tembo.

Jeshi la Polisi Katavi lakamata vipande viwili vya meno ya Tembo.

Jeshi la Polisi mkoa wa Katavi linamshikilia mtuhumiwa mmoja anaejulikana kwa jina la Sistor katabi akiwa na vipande viwili vya meno ya tembo eneo la Ilalangulu kata ya Kibaoni tarafa ya Mpimbwe wilaya ya Mlele…

Read More
Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mteule Zanzibar.

Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mteule Zanzibar.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imemtangaza rasmi Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi wa CCM Kuwa Rais Mteule wa Zanzibar baada ya kupata Kura  380,402 sawa na Asilimia 76.27.

Read More
Rais Dkt. Magufuli apiga kura Kijiji cha Chamwino Ikulu Mkoani Dodoma.

Rais Dkt. Magufuli apiga kura Kijiji cha Chamwino Ikulu Mkoani Dodoma.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwaongoza watanzania kupiga kura katika kituo cha Idara ya Maji kijiji cha Chamwino Ikulu Chamwino Jijin Dodoma…

Read More
Dkt. Magufuli aendelea kuinadi ilani akirejea Dodoma.

Dkt. Magufuli aendelea kuinadi ilani akirejea Dodoma.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli amerejea mjini Dodoma baada ya ziara ya kuinadi ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 kwa mamilioni ya wapiga kura…

Read More
Watoto watoa Ujumbe wa amani kuelekea Uchaguzi Mkuu.

Watoto watoa Ujumbe wa amani kuelekea Uchaguzi Mkuu.

Watoto wamewaasa wazazi na walezi kote nchini kuendelea kudumisha amani katika kipindi chote cha uchaguzi mkuu kwa kutokubali kushangilia matokeo yoyote yatakayotangazawa na mamlaka tofauti na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC sambamba na kutoshiriki…

Read More
Serikali ya CCM yapanga kununua meli tano kubwa za uvuvi.

Serikali ya CCM yapanga kununua meli tano kubwa za uvuvi.

Mgombea Mwenza kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema serikali imepanga kununua meli tano kubwa za uvuvi zitakazotumika kuvua samaki katika ukanda wa Pwani. Mama Samia ambaye pia ni Makamu wa Rais,…

Read More
Tanzania yafanikiwa kutekeleza malengo ya SADC.

Tanzania yafanikiwa kutekeleza malengo ya SADC.

Tanzania imesema licha ya kupitia changamoto mbalimbali ikiwemo ugonjwa wa corona na majanga ya mafuriko imefanikiwa kutimiza malengo waliyokubaliana na nchi wanachama wa jumuiya ya maendeleo kusini mwa afrika SADC huku ikiisihi Msumbiji kuendeleza mafanikio…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!