1. Home
  2. Sports & Entertainment

Category: Sports & Entertainment

Miss Utalii Tanzania kutangaza utalii wa fukwe.

Miss Utalii Tanzania kutangaza utalii wa fukwe.

Kamati ya Mashindano ya Miss Utalii Tanzania kwa kushirikiana na wadau wengine ikiwemo Bendi ya Malaika, wamezindua tamasha la kutangaza utalii wa fukwe zilizopo katika jijiji la Dar es Salaam ikiwa ni mkakati wa kuzifanya…

Read More
Mashindano ya magari kufanyika Arusha mwezi ujao.

Mashindano ya magari kufanyika Arusha mwezi ujao.

Chama cha mchezo wa mbio za Magari nchini (AAT) kinaratajia kufanya mashindano Jijini Arusha kati ya Novemba 7 hadi 8 ikiwa ni shindano la mwisho katika kalenda ya chama hicho. Akizungumza Jijini Dar es Makamu…

Read More
Kocha asema timu ya Atalanta itapigana kulinda heshima UEFA.

Kocha asema timu ya Atalanta itapigana kulinda heshima UEFA.

Naye Kocha mkuu wa timu ya Atalanta, Gian Piero Gasperini amesema klabu yake imeonyesha kuwa mpira wa miguu ni mchezo wa wazi, na kwamba kombe la klabu bingwa ni mali ya kila klabu ya Ulaya,…

Read More
Mpango wa PSG kuelekea ya robo fainali UEFA leo.

Mpango wa PSG kuelekea ya robo fainali UEFA leo.

Wakati mechi za robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Ulaya zikianza leo, Kocha Mkuu wa Klabu ya PSG ya Ufaransa Thomas Tuchel amekiri kuwa timu yake itakabiliwa na mchezo mgumu itakaposhuka dimbani kucheza dhidi…

Read More
Kamati ya nidhamu yamwadhibu kocha Luc Eymael kwa ubaguzi.

Kamati ya nidhamu yamwadhibu kocha Luc Eymael kwa ubaguzi.

Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) imemfungia miaka miwili na faini ya Shilingi milioni 3 aliyekuwa kocha wa klabu ya Yanga Luc Eymael kwa kosa la kutoa maneno ya Kibaguzi wakati Yanga…

Read More
Shilingi 100 yatosha kukupa Mamilioni na Parimatch Casino.

Shilingi 100 yatosha kukupa Mamilioni na Parimatch Casino.

Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch mara baada ya kumaliza kufanya maboresho yake katika tovuti yao ya kubashiri, imeamua kuwapa fursa mpya wateja wake kwa kucheza Casino kiganjani ambayo imesheheni zaidi ya michezo 100 mikali…

Read More
Simba wasema sare dhidi ya Ruvu Shooting ni sehemu ya mchezo.

Simba wasema sare dhidi ya Ruvu Shooting ni sehemu ya mchezo.

Ligi kuu ya soka Tanzania Bara imeendelea jana kwa mechi mbili zilizofanyika jijini Dar es Salaam. Mabingwa watetezi wa ligi kuu Simba walishuka dimbani kwenye uwanja mkuu wa taifa kucheza na Maafande wa Ruvu Shooting,…

Read More
Dkt. Abbas akagua uwanja wa CCM Mkwakwani.

Dkt. Abbas akagua uwanja wa CCM Mkwakwani.

Katibu mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambae pia ni Msemaji mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas ametembelea na kukagua uwanja wa CCM Mkwakwani kujionea namna maandalizi ya mechi yalivyo katika kufuata…

Read More
Messi aungana na wachezaji wenzake kufanya mazoezi Barcelona.

Messi aungana na wachezaji wenzake kufanya mazoezi Barcelona.

Nyota wa Barcelona Lionel Messi jana ameungana na wachezaji wenzake ikiwa ni maandalizi kuelekea mechi yao ya ligi kuu itakayopigwa jumamosi ijayo Juni 13 dhidi ya Timu ya Real Mayoka. Messi amerejea jana baada ya…

Read More
Wachezaji Ligi Kuu Tanzania waitikia wito na kuanza kurejea kambini.

Wachezaji Ligi Kuu Tanzania waitikia wito na kuanza kurejea kambini.

Wakati huu ambapo ligi za soka nchini zinatarajia kurejea baada ya Taifa kujiridhisha na mafanikio yaliyopatikana dhidi ya janga la Corona, tayari wachezaji pamoja na timu zao wameanza hatua muhimu za kujianda ikiwemo kuingia kambini…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!