1. Home
  2. Sports & Entertainment

Category: Sports & Entertainment

Buriani Mzee Mwalusako wanamichezo tutakukumbuka daima.

Buriani Mzee Mwalusako wanamichezo tutakukumbuka daima.

Wadau wa michezo nchini wameendelea kuomboleza kifo cha nyota wa zamani wa timu ya Yanga na timu ya taifa, mzee Lawrence Mwalusako ambaye amefariki leo alfajiri katika hospitali ya taifa ya Muhimbli alipokuwa amelazwa kwa…

Read More
Serikali Uingereza yalegeza masharti timu zinapofanya mazoezi.

Serikali Uingereza yalegeza masharti timu zinapofanya mazoezi.

Serikali ya Uingereza imeondoa baadhi ya masharti ilikuwa imeweka pindi timu zinapofanya mazoezi na kwamba sasa vilabu vinaruhisiwa kushiriki mazoezi ya ujumla na si kwa makundi kama ilivyokuwa hapo awali. Tangazo hilo la Serikali limetolewa…

Read More
Sherehe za kukabidhi kombe la Ubingwa Ligi Kuu Uingereza zitafanyika.

Sherehe za kukabidhi kombe la Ubingwa Ligi Kuu Uingereza zitafanyika.

Mtendaji Mkuu wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza Richard Masters ametangaza kuwa sherehe za kukabidhi kombe kwa bingwa wa ligi hiyo zitafanyika kama ilivyo desturi ya kumtangaza bingwa, japokuwa kwa mwaka huu itakuwa chini…

Read More
Mpango wa bondia McGregor kurudiana na Mayweather uko pale pale.

Mpango wa bondia McGregor kurudiana na Mayweather uko pale pale.

Baada ya kusifiwa na gwiji Mike Tyson, Mwanamasumbwi Conor McGregor raia wa Ireland, ameshukuru na kuongeza kuwa heshima hiyo atairejesha kwa kurudia pigano na bondia wa Marekani Floyd Mayweather. McGregor ambaye mwaka 2017 alipoteza pambano…

Read More
Timu za Uingereza leo kuamua siku rasmi ya kuanza mazoezi.

Timu za Uingereza leo kuamua siku rasmi ya kuanza mazoezi.

Viongozi wa Klabu za soka zinazoshiriki ligi kuu nchini Uingereza wanakutana leo ili kufanya makubaliano rasmi kwa ajili ya kurejesha mechi zilizosimamishwa mwezi machi mwaka huu kutokana na janga la Corona. Mkutano huo unakuja baada…

Read More
Ferrari langalanga wakataa kumuongeza miaka mitatu Sebastian Vettel.

Ferrari langalanga wakataa kumuongeza miaka mitatu Sebastian Vettel.

Itakapofika Mwisho wa msimu huu Dereva wa magari ya Mashindano ya langa langa Sebastian Vettel amesema ataachana na Timu ya Ferrari baada ya kushindwa kufikia makubaliano waajiri wake hao kuhusu mkataba mpya. Inadaiwa kuwa Ferrari…

Read More
Mkakati wa kuifanya KMC FC kuwa timu ya mfano Nchini.

Mkakati wa kuifanya KMC FC kuwa timu ya mfano Nchini.

Mwenyekiti wa klabu ya KMC ambaye pia ni Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Benjamin Sitta amesema kuwa iwapo Ligi Kuu ya Tanzania bara itarejea hawana wasi wasi na vijana wao kwani wachezaji hao wanaendelea kujifua…

Read More
Mikakati ya TFF ya kuwajengea uwezo waamuzi.

Mikakati ya TFF ya kuwajengea uwezo waamuzi.

Shirikisho la soka nchini TFF limesema litaendelea kutoa semina na mafunzo ya waamuzi ili kuhakikisha wanakuwa na uharaka wa kuzitafsiri sheria kumi na saba za mchezo wa soka kwenye matukio mbalimbali yanayojitokeza uwanjani. Hatua hiyo…

Read More
Sifa na hadhi ya Tanzania kwenye masumbwi kimataifa.

Sifa na hadhi ya Tanzania kwenye masumbwi kimataifa.

Katibu wa muda wa chama cha waamuzi wa mchezo wa masumbwi nchini Emmanuel Mlundwa amesema uwepo wa kamisheni ya ngumi za kulipwa (TPBRC) umesaidia kuondoa malalamiko kwa mabondia ya kutopata stahiki zao kwa wakati pindi…

Read More
Mdororo wa kiuchumi kwa timu za magari ya mashindano.

Mdororo wa kiuchumi kwa timu za magari ya mashindano.

Viongozi wa timu za magari ya mashindano ya mwendokasi wameungana na uongozi mzima Chama cha mashindano hayo ya ‘Formula One’ kuweka mpango wa kubadili mfumo wa uendeshaji ili kunusuru uchumi wa timu ulioanguka gafla kutokana…

Read More
Follow On Instagram
error: Content is protected !!