Mkutano kati ya Shirikisho la vyama vya soka vya barani Ulaya UEFA, Umoja wa Vilabu Barani Ulaya ECA na Bodi inayosimamia ligi za Ulaya EL, umepitisha azimio la kutofuta mashindano ya ligi zilizosimamishwa na badala…
Read MoreLigi kuu ya Ubelgiji maarufu kama Jupiler Pro League imefutwa rasmi leo na shirikisho la soka nchini humo. Uamuzi huo umeambatana na maazimio yafuatayo; 🏆 Club Brugge wametawazwa kuwa mabingwa🥇KRC Genk imefuzu Ligi ya Mabingwa❎Hakuna timu…
Read MoreNahodha wa timu ya soka Aston Villa Jack Grealish ameomba radhi baada ya kupigwa faini kwa kosa la kuvunja sheria zilizowekwa na serikali ya nchi hiyo za kuwataka wananchi kubaki nyumbani, ili kuzuia ya maambukizi…
Read MoreWachezaji wa klabu ya Borussia Dortmud ya ligi kuu nchini Ujerumani wameanza kurejea mazoezini baada ya ligi hiyo kusimama mwezi Machi, ikiwa ni tahadhari ya kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona Inaelezwa kuwa Erling Haaland…
Read MoreAliyekuwa Afisa Habari wa klabu ya soka ya Simba Asha Muhaji amefariki dunia leo mchana wakati akipatiwa matibabu kwenye hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa za kifo cha zilizotolewa…
Read MoreBeki wa zamani wa Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza Gary Neville ameshauri wachezaji wa ligi kuu nchini Uingereza kujitokeza kusaidia mahitaji mbalimbali kwa ajili ya kupambana na maambukizi ya virusi vya Corona.…
Read MoreMwanamuziki maarufu wa muziki wa AfroJazz Manu Dibango raia wa Cameroon afariki dunia kwa Ugonjwa wa Corona.
Read MoreStar wa Muziki wa Country Duniani Kenny Rodgers wa Marekani Amefariki Dunia akiwa na Umri wa Miaka 81, Wawakilishi wa Familia ya Kenny Rogers Wamethibisha kuwa Kenny Rodgers alipatwa na umauti akiwa Nyumbani kwake. Kwa…
Read MoreMuda mfupi baada ya serikali kusitisha shughuli zote za kimichezo zinazokusanya umati mkubwa wa watu ikiwa ni njia ya kudhibiti kuenea kwa maambukizi virusi vya corona, shirikisho la soka nchini TFF limetangaza kusimamisha ligi zote…
Read MoreBondia Hamis Mwakinyo anaondoka Nchini kwenda nchini Ujerumani ambapo tarehe 21 mwezi huu anatarajiwa kupanda ulingoni kumkabili bondia Jack Culcay kwa ajili ya kuwania mkanda wa WBO, pambano litakalochezwa nchini Ujerumani. Mwakinyo ametamba kuwa amejiandaa…
Read More