Idara ya Usimamizi wa ligi kuu ya soka ya nchini Hispania La Liga imeomba mechi watani wa kihistoria kwenye ligi hiyo (El Clasico) inayotarajiwa kupigwa mnamo Oktoba 26 ibadilishiwe uwanja kutoka uwanja wa Barcelona wa…
Read MoreBondia wa Marekani Patrick Day amefariki baada ya kulazwa siku nne hospitali kwa ajili ya matibabu ya matatizo ya ubongo aliyoyapata katika pambano lake la dhidi ya Charles Conwell jumamosi iliyopita. Baada ya kuanguka na…
Read MoreMwanadada Brigid Kosgei wa Kenya amevunja rekodi ya mbio za Marathon Wanawake iliyodumu kwa miaka 16 kwa kukimbia muda mfupi zaidi kwenye umbali wa kilomita 42. Brigid alitumia Saa 2 Dakika 14 na Sekunde 4,…
Read MoreWanariadha Eunice Sum kutoka Kenya na Halimah Nakaayi wa Uganda wamebeba matumaini ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye mbio za mita 800 kwa upande wa wanawake, watakaposhiriki hatua ya fainali ya mashindano ya Qatar itakayofanyika…
Read MoreUongozi wa klabu ya Simba unatoa taarifa kwa wanachama, mashabiki na wananchi wote kwamba Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Swedi Mkwabi kwa uamuzi wake mwenyewe amejiuzulu nafasi ya Uenyekiti. Katika barua ambayo Swedi ameiandikia Bodi…
Read MoreNemanja Matic amesema kwamba Ole Gunnar Solskjaer itabidi awajibike endapo Manchester United wakishindwa kupigania ubingwa wa Uingereza.Matic ambaye alitua Old Trafford mwaka 2017 akitokea Chelsea , msimu amecheza dakika 22 tu akitokea benchi kwenye mechi…
Read MoreKwa mara ya kwanza mchezaji wa kimataifa wa Chile Alexis Sanchez amewaambia waandishi wa habari kuwa, kamwe hatajutia uamuzi wake wa kujiunga na klabu ya Manchester United mwezi Januari mwaka 2018, japo anakiri kuwa hakupata…
Read More